JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Kumb.Na.9/259/01/A/296 18/05/2023
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL), Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Korogwe (KUWASSA), Shirika la Posta Tanzania (TPC), Workers Compensation Fund (WCF) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 2023-05-20 hadi 2023-05-24 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Nafasi za kazi ambazo majina yameongezwa kwa ajili ya usaili:-
- KADA: COMPLIANCE OFFICER, MWAJIRI: WORKERS COMPENSATION FUND (WCF)
- KADA: CLAIMS ADMINISTRATION OFFICER II, MWAJIRI: WORKERS COMPENSATION FUND (WCF)
- KADA: POSTAL CLERKS II, MWAJIRI: SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC)
- KADA: ORDINARY SAILOR II, MWAJIRI: KAMPUNI YA HUDUMA ZA MELI (MSCL)
- KADA: PUMP OPERATOR II, MWAJIRI: MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA KOROGWE (KUWASSA)
- KADA: WATER TECHNICIAN - II, MWAJIRI: MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA KOROGWE (KUWASSA)
- KADA: ACCOUNTS ASSISSTANT, MWAJIRI: MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA KOROGWE (KUWASSA)
Kujua kuhusu maelekezo wanayopaswa kuzingatia Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili huu, ratiba ya usaili na majina ya walioitwa, BOFYA HAPA.