Type Here to Get Search Results !

Nafasi za kazi Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji: Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II na Mtendaji wa Kijiji Daraja la III

Nafasi za kazi Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji: Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II na Mtendaji wa Kijiji Daraja la III


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji anapenda kuwatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi ya Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II na Mtendaji wa Kijiji Daraja la III kwa sifa zilizoainishwa kwenye tangazo hili la ajira.

Kujua kuhusu sifa za mwombaji, kazi na majukumu, mshahara na jinsi ya kutuma maombi ya nafasi hii ya kazi Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji, tafadhali BOFYA kwenye link hiyo hapo chini;

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUFIJI


Tafadhali hakikisha unatembelea Ajiriwa Serikalini kujua nafasi mpya za kazi zinazotangazwa kila siku kutoka Halmashauri mbalimbali na taasisi zote za Serikali.

Post a Comment

0 Comments