Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi anawatangazia nafasi za kazi za Mtendaji wa Kijiji Daraja la III. Nafasi hizi za ajira zinatokana na kibali cha ajira kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa barua Kumb.Na.FA.170/571/01"A"/47 ya tarehe 17/02/2023.
Kujua kuhusu sifa za mwombaji, kazi na majukumu ya Mtendaji wa Kijiji Daraja la III, ngazi ya mshahara na jinsi ya kutuma maombi ya nafasi hii ya kazi, tafadhali BOFYA kwenye link hiyo hapo chini;
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MBOZI
Tafadhali hakikisha unatembelea Ajiriwa Serikalini kujua nafasi mpya za kazi zinazotangazwa kila siku kutoka Halmashauri mbalimbali na taasisi zote za Serikali.