Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa kutuma maombi ya kujaza nafasi moja (01) ya kazi ya Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II.
Kujua kuhusu sifa za mwombaji, kazi na majukumu, mshahara na jinsi ya kutuma maombi ya nafasi hii ya kazi Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga, tafadhali BOFYA kwenye link hiyo hapo chini;
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MBINGA
Tafadhali hakikisha unatembelea ajirazaserikalini kujua fursa mpya za kazi za waandishi waendesha ofisi zinazotangazwa kila siku kutoka Halmashauri mbalimbali.