Type Here to Get Search Results !

Nafasi za kazi Halmashauri ya Wilaya ya Iringa: Dereva, Mtendaji wa kijiji na Mwandishi Mwendesha Ofisi

Nafasi za kazi Halmashauri ya Wilaya ya Iringa: Dereva, Mtendaji wa kijiji na Mwandishi Mwendesha Ofisi


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa anakaribisha maombi ya kazi kwa Watanzania wote wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za Dereva Daraja la II, Mtendaji wa Kijiji Daraja la III na Katibu Mahsusi Daraja la III. Tangazo hili ni kutokana na kibali cha ajira chenye Kumb. Na.FA.97/228/01"TEMP"/06 cha tarehe 06/04/2023 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Kujua kuhusu sifa za mwombaji, kazi na majukumu, mshahara na jinsi ya kutuma maombi ya nafasi hizi za kazi, tafadhali BOFYA kwenye link hiyo hapo chini;


Tafadhali hakikisha unatembelea ajirazaserikalini kujua fursa mpya za kazi za madereva, watendaji wa kijiji na makatibu mahsusi zinazotangazwa kila siku kutoka Halmashauri mbalimbali.

Post a Comment

0 Comments