JOB OPENING DETAILS
POST:MHAIDROJIOLOJIA DARAJA LA II (HYDROGEOLOGISTS)
EMPLOYER: MDAs & LGAs
CLOSING DATE: 2022-06-07
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.Kukusanya takwimu, kutafiti Pamoja na kutayarisha taarifa za kihaidrojiolojia zenye maelezo fasaha ya kitaalamu;
ii.Kujenga (installation) na kukarabati vifaa vya utafiti wa maji chini ya ardhi na kukarabati vituo vya kuratibu rasilimali za maji chini ya ardhi;
iii.Kusimamia uchimbaji wa visima vya maji na kuhakiki uwezo wa kisima kutoa maji (pumping test);
iv.Kukusanya sampuli za maji na udongo kwa ajili ya kufanya uchunguzi wa kimaabara;
v.Kutathmini(monitoring) rasilimali za maji chini ya ardhi, kwenye sehemu ya kidakio cha maji(sub-catchment)
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenya Shahada ya Jiolojia au Jiofizikia na Haidrojiolojia kutoka Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali. Wawe na Ujuzi wa kutumia Kompyuta.
REMUNERATION: TGS.E