Type Here to Get Search Results !

26 Job Opportunities at MDAs & LGAs, AFISA MIPANGO DARAJA LA II

26 Job Opportunities at MDAs & LGAs, AFISA MIPANGO DARAJA LA II


JOB OPENING DETAILS

POST: AFISA MIPANGO DARAJA LA II - 26 POST

EMPLOYER: MDAs & LGAs

CLOSING DATE: 2022-06-07


DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i.Kuandaa taarifa ya miradi na mipango ya maendeleo, idadi ya watu, rasilimali watu, maendeleo ya jamii, mazingira endelevu, program za maliasili na uwekezaji na fedha;

ii.Kuwasaidia wananchi kuandaa mpango shirikishi wa jamii;

iii.Kubainisha vipaumbele vya ustawi wa maendeleo ya jamii, mazingira endelevu, program za maliasili na uwekezaji na fedha;

iv.Kuandaa taarifa za tathmini za athari za mazingira zinazotokana na miradi (Enviromental Impact Assessment);

v.Kukusanya taarifa kwa ajili ya uandaaji wa mipango na bajeti;

vi.Kukusanya na kuweka kumbukumbu za idadi ya watu na rasilimali watu; na

vii.Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa mwenye Shahada/Stashahada ya juu ya Mipango kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali ambao wamejiimarisha (Major) katika mojawapo ya fani zifuatazo; Mipango ya Maendeleo ya Mikoa, Mipango ya Menejimenti ya Mazingira, Mipango ya Maendeleo ya Idadi ya Watu (Population and Development Planning), Mipango ya Uwekezaji na Maendeleo ya Fedha,  Menejimenti ya Mazingira na Maendeleo ya Miji, na Maendeleo ya Uchumi.

REMUNERATION: TGS.D

CLICK HERE TO APPLY


Post a Comment

0 Comments