JOB VACANCY TITLE:MSAIDIZI WA HESABU II (ACCOUNTS ASSISTANT II)
EMPLOYER: MDAs & LGAs
DEADLINE: 2022-06-07
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.Kuandika na kutunza “register” zinazohusu shughuli za uhasibu;
ii.Kutunza kumbukumbu za hesabu;
iii.Kupeleka barua/nyaraka za uhasibu Benki; na
iv.Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Cheti cha Astashahada ya Uhasibu kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali au Cheti cha ATEC I kinachotolewa na NBAA au sifa nyingine zinazolingana na hizo zinazotambulika na NBAA.
REMUNERATION: TGS. B