JOB VACANCY DETAILS
POST: MSAIDIZI WA MISITU DARAJA LA II - 23 POST
EMPLOYER: MDAs & LGAs
CLOSING DATE: 2022-06-07
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.Kukusanya mbegu,
ii.Kuhudumia na kutunza bustani za miti,
iii.Kutunza na kuhudumia miti na misitu,
iv.Kufanya doria,
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne au Sita wenye Astashahada (Cheti) ya Misitu kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: TGS. B