Type Here to Get Search Results !

Nafasi mpya za ajira Watendaji wa Kijiji Daraja la III Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe July 2021

Nafasi mpya za ajira Watendaji wa Kijiji Daraja la III Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe July 2021


Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe anakaribisha maombi ya kazi kwa wananchi wa Tanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 4 za Watendaji wa Kijiji Daraja la III.

Zaidi kuhusu sifa za mwombaji, kazi na majukumu, ngazi ya mshahara na jinsi ya kutuma maombi, tafadhali SOMA HAPA

NB: Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 18 Julai 2021

Tangazo hili la ajira linapatikana kwenye tovuti ya Ajira.go.tz.

Post a Comment

0 Comments