Mkurugenzi Wa Halmashauri Ya Mji Makambako Anawatangazia Waombaji Wa Nafasi Ya Kazi Ya Mtendaji Wa Kijiji Daraja III Waliokidhi Vigezo (Sifa) Kuhudhuria Usaili Utakaofanyika Siku Ya Jumatatu Tarehe 12/07/2021 (Usaili Wa Kuandika/Written Interview) Na Siku Ya Jumatano Tarehe 14/07/2021 (Usaili Wa Kuongea/Oral Interview) Kuanzia Saa 2:00 Asubuhi Katika Ukumbi Wa Shule Ya Sekondari Makambako.
Wasailiwa Wanatakiwa Kuja Na Nyaraka Halisi (Original) Zifuatazo:
1. Cheti Cha Kuzaliwa
2. Cheti Cha Kidato Cha Nne /Sita
3. Cheti Cha Taaluma (Certificate Nta Level 5)
4. Picha Mbili (2) Za Passport Size
5. Kitambulisho Cha Taifa/ Kitambulisho Chochote
Kinachotambulika Na Serikali
6. Muombaji Ambae Hatakuwa Na Vigezo Vilivyotajwa Hapo Juu Atakuwa Amejiondoa Kwenye Usaili Huu.
Pamoja Na Tangazo Hili Orodha Ya Waombaji Walioitwa Katika Usaili Huo Imeambatanishwa.
Halmashauri Ya Mji Makambako Haitohusika Na Gharama Yoyote
Katika Kipindi Chote Cha Usaili. Asante, Karibuni Sana.
Majina Ya Walioitwa Katika Usaili Wa Nafasi Ya Mtendaji Wa Kijiji Daraja la III, CLICK HAPA.