Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga anakaribisha maombi ya kazi kwa wananchi wa Tanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 5 za Watendaji wa Kijiji Daraja la III.
Zaidi kuhusu sifa za mwombaji, kazi na majukumu, ngazi ya mshahara na jinsi ya kutuma maombi, tafadhali SOMA HAPA
NB: Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 18 Julai 2021
Tangazo hili la ajira linapatikana kwenye tovuti ya Ajira.go.tz.