Type Here to Get Search Results !

Nafasi mpya za ajira Katibu Mahsusi Daraja la III na Msaidizi wa Kumbukumbu II Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa July 2021

Nafasi mpya za ajira Katibu Mahsusi Daraja la III na Msaidizi wa Kumbukumbu II Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa July 2021


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa kupitia kibali cha ajira mbadala chenye Kumb.Na.FA.170/336/01/131 cha tarehe 14 Juni, 2021 kilichotolewa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishiwa Umma na Utawala Bora, anatangaza nafasi zakazi kwa wananchi wa Tanzania wenye sifa na ujuzi wa kujaza nafasi zifuatazo:-

Zaidi kuhusu sifa za mwombaji, kazi na majukumu, ngazi ya mshahara na jinsi ya kutuma maombi, tafadhali SOMA HAPA

NB: Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 18 Julai 2021

Tangazo hili la ajira linapatikana kwenye tovuti ya Ajira.go.tz.

Post a Comment

0 Comments