Type Here to Get Search Results !

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA MBOZI

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA MBOZI


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi anapenda kuwataarifu wananchi wafuatao walioomba nafasi ya kazi ya Mtendaji wa Kijiji Daraja III katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi kwamba wanatakiwa kuhudhuria usaili utakaofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri. Usaili wa maandishi utafanyika tarehe 21/04/2021 na usaili wa mahojiano utafanyika tarehe 22/04/2021 kuanzia saa 03:00 asubuhi.

>>Orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili<<

Post a Comment

0 Comments