Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi anawatangazia wafuatao kuwa wanatakiwa kuhudhuria usaili wa maandishi na wa ana kwa ana kwa nafasi waliyoomba ya Katibu Mahsusi Daraja III na Mtendaji wa Kijiji Daraja III. Usaili huo utafanyika kuanzia tarehe 22/04/2021 hadi tarehe 23/04/2021.
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA IKUNGI
April 18, 2021
0
Tags