Type Here to Get Search Results !

Kozi za kusoma upate kazi Bandarini na chuo unachotakiwa kusoma Tanzania

Kozi za kusoma upate kazi Bandarini na chuo unachotakiwa kusoma Tanzania


Bandari College ndio chuo kinachotoa mafunzo/kozi za kukuweesha kupata kazi kwenye bandari za hapa Tanzania.


Zifuatazo ndio aina ya kozi zinazotolewa na chuo cha Bandari:


Basic Technician Certificate Programme (Duration: 1 Year)

• Basic Technician Certificate in Shipping and Ports Management – BTCSPM


• Basic Technician Certificate in Freight Clearing Forward and Port Management – BTCFCFPM


• Basic Technician Certificate in Engineering Maintenance Management – BTCEMM


• Basic Technician Certificate in Logistic and Transport Management – BTCLTM


• Basic Technician Certificate in Marking and Public Relation – BTCMPR


• Basic Technician Certificate in Fire and Safety Management – BTCFSM



Ordinary Diploma Programme (Duration: 2 Year)

• Ordinary Diploma in Shipping and Ports Management – DSPM


• Ordinary Diploma in Freight Clearing Forward and Port Management – DFCFPM


• Ordinary Diploma in Engineering Maintenance Management – DEMM


• Ordinary Diploma in Logistic and Transport Management – DLTM


• Ordinary Diploma in Marking and Public Relation – DMPR


• Ordinary Diploma in Fire and Safety Management – DFSM


Ili kufahmu zaidi kuhusu kila kozi tajwa hapo juu inachukua muda gani na vigezo vya kuweza kusoma tembelea tovuti ya chuo: https://www.bandari.ac.tz.

Post a Comment

0 Comments