Kama unapenda kufanya kazi kwenye Bandari za Tanzania unapaswa kufahamu ni aina gani ya nafai za kazi au ajira unazoweza kupata bandarini. Zipo aina nyingi za kazi zinazopatikana bandarini na hapa Ajiramarket imekuwekea baadhi ya kazi unazoweza kuomba pindi zinapotangazwa kutoka kwenye bandari za Tanzania.
List of Jobs at Tanzania Ports:
- Marketing and Public Relations jobs
- Freight Clearing, Forwarding and Port Management jobs
- Engineering and Maintenance Management jobs
- Logistics and Transport Management jobs
- Shipping and Port Management jobs
- Fire Safety officer jobs
- Port Health Management jobs
- Security jobs
- Accountant jobs
- IT jobs
- Cleaning jobs
- Portal Crane Operator
- Winch Operator
- Fork lift Truck Operators