Type Here to Get Search Results !

AJIRA: Nafasi za kazi zinazopatikana katika Bunge la Tanzania | Parliament of Tanzania job vacancies

AJIRA: Nafasi za kazi zinazopatikana katika Bunge la Tanzania | Parliament of Tanzania job vacancies

Kama unapenda kufanya kazi katika Bunge la Tanzania unapaswa kufahamu ni aina gani ya nafasi za kazi au ajira unazoweza kupata Bungeni. Zipo aina nyingi za kazi zinazopatikana katika Bunge la Tanzania na hapa Ajiramarket imekuwekea baadhi ya nafasi wazi za kazi kwa kada mbalimbali unazoweza kuomba pindi zinapotangazwa na Tume ya Utumishi wa Bunge.

NB: Nafasi hizi za kazi hazihusiani na Wabunge.


Parliament of Tanzania job vacancy list:

  • Assistant Secretary to Parliament jobs
  • record keeper jobs
  • Correspondent official Parliamentary statement jobs
  • Printer jobs
  • Reception jobs
  • Memory Assistant jobs
  • Economist jobs
  • Law officer jobs
  • HOUSEKEEPER jobs
  • TRANSPORT OFFICER jobs
  • Information Officer jobs, etc.
Ili kujua nafasi za kazi mpya - ajira mpya katika Bunge la Tanzania | Jobs at Parliament of Tanzania tembelea kila siku tovuti hii ya Ajiramarket au tovuti ya Bunge.

Tags

Post a Comment

0 Comments