Type Here to Get Search Results !

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA BUHIGWE

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA BUHIGWE


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe amepokea kibali cha kuajiri kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb. Na.FA.97/228/01"TEMP"/06 cha tarehe 06 April, 2023 kilichoruhusu nafasi 01 kwa utekelezaji wa Ikama na Bajeti ya Ajira mpya kwa mwaka wa fedha 2022/2023. Hivyo, anawatangazia na kuwakaribisha wananchi wote na watanzania wenye sifa kuomba nafasi ya kazi ya Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II (Record Management Assistant II). Ipo nafasi moja (01).

Kujua kuhusu sifa za mwombaji, kazi na majukumu ya  Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II, mshahara na jinsi ya kutuma maombi ya nafasi hii ya kazi, BOFYA HAPA.

Tafadhali hakikisha unatembelea ajirazaserikalini kujua fursa mpya za kazi zinazotangazwa kila siku kutoka Serikalini.

Post a Comment

0 Comments