Type Here to Get Search Results !

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TGFA

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TGFA


Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Tanzania Government Flight Agency (TGFA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa tarehe 2023-05-18 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.


MWAJIRI: TANZANIA GOVERNMENT FLIGHT AGENCY (TGFA)

KADA: AIRCRAFT MAINTENANCE TECHNICIAN II

TAREHE YA USAILI WA MCHUJO: 18 MEI 2023

MUDA: 07:00:00 AM

MAHALI: INSTITUTE OF SOCIAL WORK (ISW) DAR ES SALAAM

TAREHE YA USAILI WA MAOJIANO: 19 MEI 2023

MUDA: 07:00:00 AM

MAHALI: TANZANIA GOVERNMENT FLIGHT AGENCY (TGFA) DAR ES SALAAM


SOMA: Majina ya Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili.

Post a Comment

0 Comments