Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya College Of African Wildlife Management - MWEKA (CAWM) anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa tarehe 18 Mei, 2023 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili.
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MWEKA
May 11, 2023
0