TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOROGORO, LIMETOLEWA 31-05-2023
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro kwa kuzingatia kibali cha ajira cha tarehe 06 April, 2023 chenye Kumb.Na.FA.97/228/01"TEMP"/06 kutoka kwa Katibu Mkuu (UTUMISHI), anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za kazi zifuatazo:
Kujua kuhusu sifa za mwombaji, kazi na majukumu katika kazi hizi, ngazi ya mshahara, jinsi ya kutuma maombi na tarehe ya mwisho kupokea maombi, tafadhali BOFYA kwenye link ya ajira husika hapo juu. Lakini pia hakikisha unatembelea tovuti hii ya Ajiriwa Serikalini kujua nafasi mpya za kazi zinazotangazwa kila siku kutoka Halmashauri mbalimbali na taasisi zote za Serikali.