TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOMBA, LIMETOLEWA 31-05-2023
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Momba anayo furaha kutangaza nafasi 8 za ajira ya kudumu kwa Watanzania wote wenye sifa stahiki katika nafasi ya Dereva Daraja la II nafasi 3, Mwandishi Mwendesha Ofisi (Katibu Mahsusi) Daraja la II nafasi 3 na Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II nafasi 1. Nafasi za ajira hizi zinatokana na kibali cha ajira kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa barua yenye Kumb.Na.FA.97/228/01"TEMP"/06 ya tarehe 06 April, 2023.
Kujua kuhusu sifa za mwombaji, kazi na majukumu katika kazi hizi, ngazi ya mshahara, jinsi ya kutuma maombi na tarehe ya mwisho kupokea maombi, tafadhali BOFYA kwenye link hiyo hapo chini;
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOMBA
Tafadhali hakikisha unatembelea tovuti hii ya Ajiriwa Serikalini kujua nafasi mpya za kazi zinazotangazwa kila siku kutoka Halmashauri mbalimbali na taasisi zote za Serikali.