Type Here to Get Search Results !

MHANDISI II (UMEME) - 1 POST » Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

Nafasi mpya ya kazi Serikalini leo | Ajira Utumishi wa Umma | Ajira portal.


JOB DETAILS

POST: MHANDISI II (UMEME) - 1 POST

EMPLOYER: Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

APPLICATION DEADLINE: 2023-04-02


DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i.Atafanya kazi chini ya uangalizi wa Mhandisi aliyesajiliwa na Bodi ya Usajili ya Wahandisi (Professional Engineer) ili kupata uzoefu unaotakaiwa;

ii.Kufanya kazi kwa vitendo katika fani ya umeme ili kumuwezesha kupata sifa za kutosha kusajiliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi;

iii.Kukusanya taarifa na takwimu kuhusu vifaa vya umeme na mitambo mbalimbali ndani na nje ya nchi; 

iv.Kupitia mapendekezo ya miradi (project proposals) mbalimbali ya ufundi na umeme yanayowasilishwa Wizarani; na

v.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Msimamizi wake wa kazi. 


QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wahitimu wa kidato  cha  Nne/sita  waliofuzu  Mafunzo  ya  Shahada/ Stashahada ya Juu katika fani ya Uhandisi Umeme (Bachelor of Science in Electrical Engeneering) kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali na wawe wamesajiliwa na Bodi ya Usajili ya Wahandisi(ERB)


REMUNERATION: MHANDISI II (UMEME)

Post a Comment

0 Comments