Type Here to Get Search Results !

MHANDISI II- (UJENZI) - 5 POST » Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

Nafasi mpya ya kazi Serikalini leo | Ajira Utumishi wa Umma | Ajira portal.


JOB DETAILS

POST: MHANDISI II- (UJENZI) - 5 POST

EMPLOYER: Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

APPLICATION DEADLINE: 2023-04-02


DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i.Atafanya kazi chini ya uangalizi wa Mhandisi aliyesajiliwa na Bodi ya Usajili ya Wahandisi (Professional Engineer) ili kupata uzoefu unaotakaiwa;

ii.Kufanya kazi kwa vitendo katika fani ya umeme ili kumuwezesha kupata sifa za kutosha kusajiliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi;

iii.Kukusanya taarifa na takwimu kuhusu vifaa vya umeme na mitambo mbalimbali ndani na nje ya nchi; 

iv.Kupitia mapendekezo ya miradi (project proposals) mbalimbali ya ufundi na umeme yanayowasilishwa Wizarani; na

v.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Msimamizi wake wa kazi.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha Nne/sita waliofuzu Mafunzo ya Shahada/Stashahada ya Juu katika fani ya Uhandisi Ujenzi (Bachelor of Science in Civil Engeneering ) kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali na wawe wamesajiliwa na Bodi ya Usajili ya Wahandisi(ERB)

REMUNERATION: MHANDISI II- (UJENZI)

CLICK HERE TO APPLY

Post a Comment

0 Comments