Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa anapenda kuwataarifu waombaji waliokidhi vigezo kufika kwenye usaili utakaofanyika tarehe 30/05/2022 katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa.
Nafasi ya kazi inayohusika: Mtendaji wa Kijiji Daraja III (Nafasi 6)
Click Hapa kuona tangazo kamili pamoja na rodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili