Type Here to Get Search Results !

Sekretarieti ya Ajira (PSRS) - TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NEWALA TC

Hili ni tangazo la kuitwa kwenye usaili Halmashauri ya Mji Newala lililotolewa na Sekretarieti ya Ajira (PSRS) tarehe 18 June 2021.

Sekretarieti ya Ajira (PSRS) - TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NEWALA TC


Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Newala anapenda kuwatangazia waombaji wa nafasi ya Mtendaji wa Kijiji iliyotangazwa tarehe 26/05/2021 kuwa, wanatakiwakufika kwenye usaili siku ya Alhamisi tarehe 01/07/2021.

Usaili utafanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Mji Newala kuanzia saa 01:00 asubuhi.

Kujua orodha ya wanaotakiwa kufika kwenye usaili na vitu muhimu wanavyotakiwa kuwa navyo | CLICK HERE

Post a Comment

0 Comments