Type Here to Get Search Results !

MKUFUNZI II (AGRO- MECHANIZATION) - Nafasi 1 ya kazi Wakala wa Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo (LITA)

MKUFUNZI II (AGRO- MECHANIZATION) - Nafasi 1 ya kazi Wakala wa Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo (LITA)


POST: MKUFUNZI II (AGRO- MECHANIZATION), Ipo nafasi moja

EMPLOYER: Livestock Training Agency (LITA)

APPLICATION TIMELINE: 2021-06-08 2021-06-21


DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i.Kutafsiri mitaala na kufundisha ngazi ya NTA Level 4-6,

ii.Kutunga na kusimamia Mitihani ya upimaji na  na mitihani ya mwisho wa muhula,

iii.Kuandaa “Training materials” na learning resources” na kuwapatia wanafunzi,

iv.Kuwasimamia na kuwasaidia wakufunzi wasaidizi,

v.Kusimamia mafunzo kwa vitendo vyuoni na uwandani,

vi.Kutambua mahitaji ya wanafunzi wenye uhitaji maalum na kuwasaidia,

vii.Kutoa mafunzo na ushauri kwa wafugaji na wadau wengine katika sekta ya mifugo,

viii.Kuandaa na kusimamia midahalo ya masomo ya wanafunzi,

ix.Kufanya  tafiti na kutoa ushauri wa kitaalamu kwa wadau wengine na;

x.Kufanya kazi zingine zitakazotolewa na viongozi.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Awe amehitimu shahada ya kwanza ya Sayansi ya Tiba ya Mifugo kutoka chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali Awe amehitimu shahada ya kwanza ya Agricultural Engineering kutoka chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) au Chuo Kikuu kingine kinachotambulika na Serikali na awe amesajiliwa na Bodi ya Taaluma yake.  Awe na ufaulu wa angalau daraja la pili la juu (Upper Second) kuanzia GPA 3.5 na kuendelea.

REMUNERATION: PTSS 10


CLICK HERE TO APPLY


Post a Comment

0 Comments