Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe anapenda kuwatangazia Wananchi wenye sifa ya kujaza nafasi moja (1) ya kazi ya Dereva wa Mashua/Vivuko Daraja II.
Kusoma zaidi kuhusu sifa za mwombaji, kazi na majukumu, ngazi ya mshahara na jinsi ya kutuma maombi bofya kwenye link hiyo hapo chini;
Nafasi ya kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe - DEREVA WA MASHUA/VIVUKO DARAJA LA II
NB: Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 19/05/2021.
