Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji Makambako anapenda kuwatangazia Wananchi wenye sifa ya kujaza nafasi moja (1) ya kazi ya Afisa Mtendaji wa Kijiji Daraja la III - Village Executive Officer III.
Kusoma zaidi kuhusu sifa za mwombaji, kazi na majukumu, ngazi ya mshahara na jinsi ya kutuma maombi bofya kwenye link hiyo hapo chini;
Nafasi ya kazi Halmashauri ya Mji Makambako - AFISA MTENDAJI WA KlJlJl DARAJA LA lll.
NB: Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 30/05/2021.
