POST: MHUDUMU WA BOTI
POST CATEGORY(S): FARMING AND AGRIBUSINESS
EMPLOYER: Wizara ya Mifugo na Uvuvi
APPLICATION DEADLINE: 08 June 2021
JOB SUMMARY: NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kulinda boti/meli;
ii.Kutunza usafi wa meli/boti;
iii.Kutunza usafi wa vyombo vya kuvulia samaki;
iv.Kufanya ukarabati mdogo wa meli/boti ya uvuvi na
v.Kuegesha boti dogo la uvuvi kam inavyotakiwa.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne (IV) wenye cheti cha uvuvi kutoka Chuo cha Uvuvi Nyegezi au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: TGSC