Type Here to Get Search Results !

Ajira kutoka Halmashauri ya Mji Newala - MTENDAJI WA KlJlJl DARAJA LA lll

Ajira kutoka Halmashauri ya Mji Newala - MTENDAJI WA KlJlJl DARAJA LA lll


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji Newala anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Mji Newala kutuma maombi kwa kazi ya Afisa Mtendaji wa Kijiji Daraja la III - Village Executive Officer III.

Kusoma maelezo kamili kuhusu nafasi hii ya kazi; sifa za mwombaji, kazi na majukumu, ngazi ya mshahara na jinsi ya kutuma maombi bofya kwenye link hiyo hapo chini;

Nafasi ya kazi Halmashauri ya Mji Newala - AFISA MTENDAJI WA KlJlJl DARAJA LA lll.


Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 08 June 2021.

Post a Comment

0 Comments