TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Momba anawatangazia watanzania wote wenye sifa kutuma maombi ya kazi ili kujaza nafasi moja ya kazi ya Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II. Nafasi hii ya ajira inatokana na kibali cha ajira kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa barua Kumb.Na.FA.228/613/01/B/015 ya tarehe 22 Aprili 2024.
Kujua kuhusu sifa za mwombaji, kazi na majukumu ya Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II, ngazi ya mshahara na jinsi ya kutuma maombi ya nafasi hii ya kazi, tafadhali BOFYA kwenye link hiyo hapo chini;
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOMBA
Tafadhali hakikisha unatembelea TZajiraweb kila siku kujua nafasi mpya za kazi zinazotangazwa na Halmashauri mbalimbali na taasisi zote za Serikali pamoja na makampuni binafsi.