MWAJIRI: MDAS & LGAS
KADA: AFISA WA SHERIA DARAJA LA II (LEGAL OFFICER GRADE II)
TAREHE YA USAILI WA MCHUJO: 14 June 2023
MUDA: 11:00:00 AM
MAHALI: CHUO CHA MIPANGO YA MAENDELEO VIJIJINI (IRDP) UKUMBI WA NYERERE
TAREHE YA USAILI WA MAHOJIANO: 15 June 2023
MUDA: 07:00:00 AM
MAHALI: OFISI ZA SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA MAJENGO YA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM) ENEO LA DKT.ASHA ROSE MIGIRO.
KUHUSU TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI
Tangazo hili la kuitwa kwenye usaili limetolewa Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma tarehe 13-06-2023 kwa niaba ya MDA's NA LGA's kuwataarifu Waombaji kazi wote walioomba kazi kwa nafasi ya Afisa wa Sheria Daraja la Pili (Legal Officer II) kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa tarehe 14 - 15/06/2023 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.