Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga ametangaza nafasi ya kazi ya MTENDAJI WA KIJIJI II.
Kama unahitaji fursa hii ya ajira SOMA HAPA kujua zaidi kuhusu sifa za mwombaji, ngazi ya mshahara, majukumu ya Mtendaji wa Kijiji ii, jinsi ya kutuma maombi na tarehe ya mwisho ya kutuma maombi.