JOB VACANCY TITLE:MHASIBU DARAJA LA II (ACCOUNTANT GRADE II)
EMPLOYER; MDAs & LGAs
DEADLINE FOR APPLICATION: 2022-06-07
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.Kushiriki kuandika taarifa ya mapato na matumizi
ii.Kushiriki kuandaa taarifa za maduhuri
iii.Kushiriki kufanya usuluhisho wa hesabu za benki na nyingine zinazohusiana na masuala ya fedha
iv.Kuandaa taarifa mbalimbali za mishahara
v.Kuandika hati za malipo na hati za mapokezi
vi.Kutunza daftari la amana
vii.Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye shahada ya biashara/Sanaa aliyejiimarisha kwenye fani ya Uhasibu au Stashahada ya Juu ya uhasibu kutoka taasisi inayotambuliwa na serikali pamoja na cheti cha taaluma ya uhasibu CPA (T) au sifa inayolingana nayo inayotambuliwa na NBAA.
REMUNERATION: TGS.E