Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni amepokea kibali cha ajira ya mkataba wa muda Kumb.Na.FA.170/374/01/"A"/38 ya tarehe 15/06/2021 kwa kada ya Madereva yenye idadi ya nafasi (39) kutoka kwa Katibu Mkuu Menejiment ya Utumishiwa Umma na Utawala Bora.
Aidha Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni anakaribisha maombi ya kazi ya ajira ya mkataba wa muda kwa kada ya Madereva kutoka Watanzania wenye sifa na uweo wa kujaza nafasi wazi za kazi 39 kama ilivyobainishwa katika tangazo hili.
Kusoma zaidi kuhusu sifa za mwombaji, kazi na majukumu, ngazi ya mshahara na jinsi ya kutuma maombi, tafadhali CLICK HAPA
NB: Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 12 Julai 2021