Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji anakaribisha maombi ya kazi kwa wananchi wa Tanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi ya Watendaji wa Kijiji Daraja la III katika Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji.
Zaidi kuhusu sifa za mwombaji, kazi na majukumu, ngazi ya mshahara na jinsi ya kutuma maombi, tafadhali SOMA HAPA.
NB: Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 25 Julai 2021
Tangazo hili la ajira linapatikana kwenye tovuti ya Ajira.go.tz na www.rufijidc.go.tz.