Type Here to Get Search Results !

MKAGUZI WA NDANI MWANDAMIZI - Nafasi 1 ya kazi TTCL

MKAGUZI WA NDANI MWANDAMIZI - Nafasi 1 ya kazi TTCL


POST: MKAGUZI WA NDANI MWANDAMIZI

POST CATEGORY(S): ACCOUNTING AND AUDITING

EMPLOYER: Tanzania Telecommunications Company Limited (TTCL)

APPLICATION TIMELINE: 2021-06-11 2021-06-23


DUTIES AND RESPONSIBILITIES

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

i.Awe ni mwajiriwa katika Utumishi wa umma,

ii.Awe na Shahada ya kwanza katika Uhasibu, Fedha, Usimamizi wa biashara/ Biashara inayojumuisha Uhasibu au Fedha au sifa sawia kwa Taasisi inayotambuliwa pamoja na CPA (T), ACCA, ACA, CIA au sifa sawia ya kitaalam inayotambuliwa na NBAA.

iii.Uzoefu wa kazi wa angalau miaka saba (7) katika fani  inayohusiana


REMUNERATION: TTCS 7

CLICK HERE TO APPLY

Post a Comment

0 Comments