POST: MKADIRIAJI UJENZI DARAJA II
POST CATEGORY(S): Nafasi za kazi za Halmashauri
EMPLOYER: Halmashauri ya Wilaya ya Nzega (NZEGA DC)
CLOSING: 2021-06-20
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.Kufanya kazi chini ya uangalizi wa Mkadiriaji Ujenzi aliyesajiliwa na Bodi ya usajili husika kama “Professional Quantity Surveyor” ili kupata uzoefu unaotakiwa;
ii.Kufanya kazi kwa vitendo katika fani zinazomhusu ili kumwezesha Mkadiriji Ujenzi kupata sifa za kutosha kusajiliwa na Bodi ya Usajili inayomhumsu;
iii.Kukusanya taarifa na takwimu kuhusu miradi mbalimbali kuhusu bei za vifaa vya Majengo ndani na nje ya nchi;
iv.Kupitia mapendekezo ya miradi (project proposals) mbali mbali ya Majengo yanayowasilishwa kwenye Halmshauri ya Wilaya na kutoa ushauri unaotakiwa; na
v.Kazi nyingine kama atakavyoagizwa na Msimamizi wake wa kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya juu ya Ukadiriaji ujenzi (Bachelor in Quantity Surveying) kutoka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: TGS E