Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai kupitia kibali cha ajira Mbadala chenye Kumb. Na. FA.170/370/01"B"/24 cha tarehe 11 Machi, 2021 kilichotolewa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, anatangaza nafasi za kazi kwa Wananchi wa Tanzania wenye sifa na ujuzi wa kujaza nafsi zifuatazo:-
1. Msaidizi wa Kumbukumbu II (nafasi 1)
2. Katibu Mahsusi III (nafasi 1)
3. Mtendaji wa Kijiji III (nafasi 1)
Bofya Hapa kusoma zaidi kuhusu sifa za mwombaji, kazi na majukumu, ngazi ya mshahara na jinsi ya kutuma maombi.
NB: Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 05/05/2021 saa tisa na nusu alasiri.