Type Here to Get Search Results !

Mtendaji wa Kijiji III - Nafasi moja ya kazi mpya Halmashauri ya Wilaya ya Madaba May, 2021

Mtendaji wa Kijiji III - Nafasi moja ya kazi mpya Halmashauri ya Wilaya ya Madaba May, 2021

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba anapenda kuwatangazia Wananchi wenye sifa ya kujaza nafasi moja (1) ya kazi ya Mtendaji wa Kijiji Daraja III.

Bofya Hapa kusoma zaidi kuhusu sifa za mwombaji, kazi na majukumu, ngazi ya mshahara na jinsi ya kutuma maombi.

NB: Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 10/05/2021 saa tisa na nusu alasiri.

Post a Comment

0 Comments