Katibu Wa Sekretarieti Ya Ajira Anapenda Kuwatangazia Waombaji Kazi Wote Walioitwa Kwenye Usaili Wa Taasisi Ya Wakala Wa Nishati Vijijini (Rea) Na Halmashauri Ya Wilaya Ya Bukombe Kupitia Tangazo La Tarehe 01 April, 2021 Kuwa Tarehe Za Usaili Zimebadilika Kutokana Na Sababu Zilizo Nje Ya Uwezo Wetu. Hivyo Mabadiliko Ya Tarehe Za Usaili Ni Kama Ifuatavyo;
>>Kada Ya Project Engineer, Monitoring And Evaluation Officer Ii Na Procurement Officer II.
• Tarehe Ya Usaili Wa Mchujo Ni 24 April 2021, Muda Ni Saa 1 Kamili Asubuhi
• Tarehe Ya Usaili Wa Mahojiano Ni 27 April 2021, Muda Ni Saa 1 Kamili Asubuhi.
>>Kada Ya Afisa Ugavi Msaidizi- Halmashauri Ya Wilaya Ya Bukombe
• Tarehe Ya Usaili Wa Mchujo Ni 24 April 2021, Muda Ni Saa 1 Kamili Asubuhi
• Tarehe Ya Usaili Wa Mahojiano Ni 27 April 2021, Muda Ni Saa 1 Kamili Asubuhi.
Nb: Mahali Na Sehemu Za Kufanyia Usaili Zinabaki Kama Tangazo La Awali La Kuitwa Kwenye Usaili.
Source: ajira.go.tz